Quran with Swahili translation - Surah Quraish ayat 2 - قُرَيش - Page - Juz 30
﴿إِۦلَٰفِهِمۡ رِحۡلَةَ ٱلشِّتَآءِ وَٱلصَّيۡفِ ﴾
[قُرَيش: 2]
﴿إيلافهم رحلة الشتاء والصيف﴾ [قُرَيش: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr kupangika na kusahilika misafara yao ya kwenda Yamani kipindi cha kusi na kwenda Shamu kipindi cha kaskazi, ili kuleta vitu wanavyohitajia |