The Quran in Swahili - Surah Nasr translated into Swahili, Surah An-Nasr in Swahili. We provide accurate translation of Surah Nasr in Swahili - السواحيلية, Verses 3 - Surah Number 110 - Page 603.
إِذَا جَاءَ نَصْرُ اللَّهِ وَالْفَتْحُ (1) Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi |
وَرَأَيْتَ النَّاسَ يَدْخُلُونَ فِي دِينِ اللَّهِ أَفْوَاجًا (2) Na ukaona watu wanaingia katika Dini ya Mwenyezi Mungu kwa makundi |
فَسَبِّحْ بِحَمْدِ رَبِّكَ وَاسْتَغْفِرْهُ ۚ إِنَّهُ كَانَ تَوَّابًا (3) Zitakase sifa za Mola wako Mlezi, na umwombe msamaha; hakika Yeye ndiye anaye pokea toba |