The Quran in Swahili - Surah Masad translated into Swahili, Surah Al-Masad in Swahili. We provide accurate translation of Surah Masad in Swahili - السواحيلية, Verses 5 - Surah Number 111 - Page 603.
تَبَّتْ يَدَا أَبِي لَهَبٍ وَتَبَّ (1) Imeangamia mikono ya Abu Lahab, na yeye pia ameangamia |
مَا أَغْنَىٰ عَنْهُ مَالُهُ وَمَا كَسَبَ (2) Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma |
سَيَصْلَىٰ نَارًا ذَاتَ لَهَبٍ (3) Atauingia Moto wenye mwako |
وَامْرَأَتُهُ حَمَّالَةَ الْحَطَبِ (4) Na mkewe, mchukuzi wa kuni |
فِي جِيدِهَا حَبْلٌ مِّن مَّسَدٍ (5) Shingoni mwake iko kamba iliyo sokotwa |