Quran with Swahili translation - Surah An-Nasr ayat 3 - النَّصر - Page - Juz 30
﴿فَسَبِّحۡ بِحَمۡدِ رَبِّكَ وَٱسۡتَغۡفِرۡهُۚ إِنَّهُۥ كَانَ تَوَّابَۢا ﴾
[النَّصر: 3]
﴿فسبح بحمد ربك واستغفره إنه كان توابا﴾ [النَّصر: 3]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Yatakapotokea hayo, jitayarishe kukutana na Mola Wako kwa kumtakasa na kumhimidi na kumuomba msamaha kwa wingi. Kwani Yeye ni Mwingi wa kuwakubalia toba wenye kumsabihi na kumuomba msamaha, kwa kuwasamehe na kuwarehemu |