The Quran in Swahili - Surah Zalzalah translated into Swahili, Surah Az-Zalzalah in Swahili. We provide accurate translation of Surah Zalzalah in Swahili - السواحيلية, Verses 8 - Surah Number 99 - Page 599.

| إِذَا زُلْزِلَتِ الْأَرْضُ زِلْزَالَهَا (1) Itakapo tetemeshwa ardhi kwa mtetemeko wake |
| وَأَخْرَجَتِ الْأَرْضُ أَثْقَالَهَا (2) Na itakapo toa ardhi mizigo yake |
| وَقَالَ الْإِنسَانُ مَا لَهَا (3) Na mtu akasema: Ina nini |
| يَوْمَئِذٍ تُحَدِّثُ أَخْبَارَهَا (4) Siku hiyo itahadithia khabari zake |
| بِأَنَّ رَبَّكَ أَوْحَىٰ لَهَا (5) Kwa sababu Mola wake Mlezi ameifunulia |
| يَوْمَئِذٍ يَصْدُرُ النَّاسُ أَشْتَاتًا لِّيُرَوْا أَعْمَالَهُمْ (6) Siku hiyo watu watatoka kwa mfarakano wakaonyweshwe vitendo vyao |
| فَمَن يَعْمَلْ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ خَيْرًا يَرَهُ (7) Basi anaye tenda chembe ya wema, atauona |
| وَمَن يَعْمَلْ مِثْقَالَ ذَرَّةٍ شَرًّا يَرَهُ (8) Na anaye tenda chembe ya uovu atauona |