Quran with Swahili translation - Surah Az-Zalzalah ayat 6 - الزَّلزَلة - Page - Juz 30
﴿يَوۡمَئِذٖ يَصۡدُرُ ٱلنَّاسُ أَشۡتَاتٗا لِّيُرَوۡاْ أَعۡمَٰلَهُمۡ ﴾ 
[الزَّلزَلة: 6]
﴿يومئذ يصدر الناس أشتاتا ليروا أعمالهم﴾ [الزَّلزَلة: 6]
| Abdullah Muhammad Abu Bakr Siku hiyo wataondoka kutoka kwenye kisimamo cha Hesabu wakiwa makundi, ili Mwenyezi Mungu Awaoneshe waliyoyatenda, mazuri na mabaya, na Awalipe kwayo |