Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 51 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿وَنَبِّئۡهُمۡ عَن ضَيۡفِ إِبۡرَٰهِيمَ ﴾
[الحِجر: 51]
﴿ونبئهم عن ضيف إبراهيم﴾ [الحِجر: 51]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wapashe habari, ewe Mtume, kuhusu wageni wa Ibrāhīm miongoni mwa Malaika ambao walimpa habari njema za kupata mwana na za kuangamia kwa jamaa za Lūṭ |