Quran with Swahili translation - Surah Al-hijr ayat 52 - الحِجر - Page - Juz 14
﴿إِذۡ دَخَلُواْ عَلَيۡهِ فَقَالُواْ سَلَٰمٗا قَالَ إِنَّا مِنكُمۡ وَجِلُونَ ﴾
[الحِجر: 52]
﴿إذ دخلوا عليه فقالوا سلاما قال إنا منكم وجلون﴾ [الحِجر: 52]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Pindi walipoingia kwake na wakamwamkia kwa kusema, «Amani.» Hapo naye akawarudishia maamkizi ya amani. Kisha akwaletea chakula na wao wasikile, na hapo akasema, «Sisi ni wenye kicho na nyinyi.» |