×

Alif Lam Mim 2:1 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Baqarah ⮕ (2:1) ayat 1 in Swahili

2:1 Surah Al-Baqarah ayat 1 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Baqarah ayat 1 - البَقَرَة - Page - Juz 1

﴿الٓمٓ ﴾
[البَقَرَة: 1]

Alif Lam Mim

❮ Previous Next ❯

ترجمة: الم, باللغة السواحيلية

﴿الم﴾ [البَقَرَة: 1]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
“Alif Lām Mīm” Herufi hizi na nyinginezo, miongoni mwa herufi zilizotajwa mwanzo wa sura, zinaashiria kuwa Qur’ani haigiziki. Washirikina waliwekewa biri walete kitu kama Qur’ani, wakashindwa kushindana nayo, paomoja na kuwa imebuniwa na herufi hizi hizi ambazo Waarabu wanazitumia. Kulemewa kwa Waarabu kuja na Qur’ani kama hii, ingawa walikuwa ni mafasaha wa watu, ni dalili ya kuwa Qur’ani ni wahyi (wahy) utokao kwa Mwenyezi Mungu
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek