Quran with Swahili translation - Surah Al-Mu’minun ayat 59 - المؤمنُون - Page - Juz 18
﴿وَٱلَّذِينَ هُم بِرَبِّهِمۡ لَا يُشۡرِكُونَ ﴾ 
[المؤمنُون: 59]
﴿والذين هم بربهم لا يشركون﴾ [المؤمنُون: 59]
| Abdullah Muhammad Abu Bakr Na wale ambao wao wanaitakasa ibada kwa Mwenyezi Mungu , Peke Yake, na hawamshirikishi na Yeye mwingine asiyekuwa Yeye  |