Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 110 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿فَٱتَّقُواْ ٱللَّهَ وَأَطِيعُونِ ﴾
[الشعراء: 110]
﴿فاتقوا الله وأطيعون﴾ [الشعراء: 110]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi jihadharini na mateso Yake na mnitii mimi kwa kufuata amri Zake na kujiepusha na makatazo Yake.» |