Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 111 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿۞ قَالُوٓاْ أَنُؤۡمِنُ لَكَ وَٱتَّبَعَكَ ٱلۡأَرۡذَلُونَ ﴾
[الشعراء: 111]
﴿قالوا أنؤمن لك واتبعك الأرذلون﴾ [الشعراء: 111]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Watu wake wakamwambia, «Vipi tutakuamini na tutakufuata na hali hao waliokufuata ni watu wanyonge na wale wa hali ya chini miongoni mwao?» |