Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 151 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَلَا تُطِيعُوٓاْ أَمۡرَ ٱلۡمُسۡرِفِينَ ﴾
[الشعراء: 151]
﴿ولا تطيعوا أمر المسرفين﴾ [الشعراء: 151]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na msiandame amri ya wenye kuzidhulumu nafsi zao, waliokolea katika kumuasi Mwenyezi Mungu |