Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 172 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿ثُمَّ دَمَّرۡنَا ٱلۡأٓخَرِينَ ﴾ 
[الشعراء: 172]
﴿ثم دمرنا الآخرين﴾ [الشعراء: 172]
| Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha tukawaangamiza wasiokuwa wao, miongoni mwa makafiri, kuwaangamiza kukubwa |