Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 171 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿إِلَّا عَجُوزٗا فِي ٱلۡغَٰبِرِينَ ﴾
[الشعراء: 171]
﴿إلا عجوزا في الغابرين﴾ [الشعراء: 171]
Abdullah Muhammad Abu Bakr isipokuwa mkongwe miongoni mwa watu wa nyumbani kwake, naye ni mke wake ambaye hakushirikiana na wao katika kuamini, hivyo basi akawa ni mwenye kusalia kwenye adhabu na maangamivu |