Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 91 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَبُرِّزَتِ ٱلۡجَحِيمُ لِلۡغَاوِينَ ﴾
[الشعراء: 91]
﴿وبرزت الجحيم للغاوين﴾ [الشعراء: 91]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Moto utaonyeshwa waziwazi kwa makafiri ambao walipotea njia ya uongofu na wakayafanyia ujasiri yaliyoharamishwa na Mwenyezi Mungu na wakawakanusha Mitume Wake |