Quran with Swahili translation - Surah Ash-Shu‘ara’ ayat 90 - الشعراء - Page - Juz 19
﴿وَأُزۡلِفَتِ ٱلۡجَنَّةُ لِلۡمُتَّقِينَ ﴾
[الشعراء: 90]
﴿وأزلفت الجنة للمتقين﴾ [الشعراء: 90]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Pepo itasogezwa karibu kwa wale waliojiepusha na ukafiri na matendo ya uasi na wakamuelekea Mwenyezi Mungu kwa kumtii |