Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 2 - النَّمل - Page - Juz 19
﴿هُدٗى وَبُشۡرَىٰ لِلۡمُؤۡمِنِينَ ﴾
[النَّمل: 2]
﴿هدى وبشرى للمؤمنين﴾ [النَّمل: 2]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Nazo ni aya zenye kuongoza kwenye njia ya kufuzu duniani na Akhera, na zinatoa bishara ya malipo mazuri kwa Waumini walioziamini na wakaongoka kwa uongofu wake |