Quran with Swahili translation - Surah An-Naml ayat 1 - النَّمل - Page - Juz 19
﴿طسٓۚ تِلۡكَ ءَايَٰتُ ٱلۡقُرۡءَانِ وَكِتَابٖ مُّبِينٍ ﴾
[النَّمل: 1]
﴿طس تلك آيات القرآن وكتاب مبين﴾ [النَّمل: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Tā Sīn» Yametangulia maelezo kuhusu herufi zilizokatwa na kutengwa katika mwanzo wa sura ya Al-Baqarah. Hizi ni aya za Qur’ani, nazo ni aya za Kitabu kitukufu zenye maana yaliyofunuka wazi zenye ushahidi waziwazi wa kuonyesha elimu zilizomo, hekima na Sheria |