Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 1 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿وَٱلصَّٰٓفَّٰتِ صَفّٗا ﴾
[الصَّافَات: 1]
﴿والصافات صفا﴾ [الصَّافَات: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu, Aliyetukuka, Anaapa kwa Malaika wanaojipanga, katika kuabudu kwao, mistari iliyofuatana na kushikana |