Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 118 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿وَهَدَيۡنَٰهُمَا ٱلصِّرَٰطَ ٱلۡمُسۡتَقِيمَ ﴾
[الصَّافَات: 118]
﴿وهديناهما الصراط المستقيم﴾ [الصَّافَات: 118]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na tukawaongoza njia iliyonyoka isiyokuwa na upotovu, nayo ni Uislamu, Dini ya Mwenyezi Mungu ambayo Amewatumiliza Manabii Wake kwayo |