Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 119 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿وَتَرَكۡنَا عَلَيۡهِمَا فِي ٱلۡأٓخِرِينَ ﴾
[الصَّافَات: 119]
﴿وتركنا عليهما في الآخرين﴾ [الصَّافَات: 119]
Abdullah Muhammad Abu Bakr na tukazifanya sifa zao nzuri na utajo wao mwema ni vyenye kusalia baada yao |