Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 121 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿إِنَّا كَذَٰلِكَ نَجۡزِي ٱلۡمُحۡسِنِينَ ﴾
[الصَّافَات: 121]
﴿إنا كذلك نجزي المحسنين﴾ [الصَّافَات: 121]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kama tulivyowalipa wao malipo mema , ndivyo tutakavyowalipa wenye kufanya wema miongoni mwa waja wetu wenye kututakasia kwa ukweli, kuamini na kutenda |