Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 174 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿فَتَوَلَّ عَنۡهُمۡ حَتَّىٰ حِينٖ ﴾
[الصَّافَات: 174]
﴿فتول عنهم حتى حين﴾ [الصَّافَات: 174]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi wape mgongo, ewe Mtume, wale walioshindana na wasiikubali haki mpaka ukamalizika muda waliopatiwa muhula na ikaja amri ya Mwenyezi Mungu ya wao kuadhibiwa |