×

Hakika Mungu wenu bila ya shaka ni Mmoja 37:4 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah As-saffat ⮕ (37:4) ayat 4 in Swahili

37:4 Surah As-saffat ayat 4 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 4 - الصَّافَات - Page - Juz 23

﴿إِنَّ إِلَٰهَكُمۡ لَوَٰحِدٞ ﴾
[الصَّافَات: 4]

Hakika Mungu wenu bila ya shaka ni Mmoja

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إن إلهكم لواحد, باللغة السواحيلية

﴿إن إلهكم لواحد﴾ [الصَّافَات: 4]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
kwamba muabudiwa wenu, enyi watu, ni Mmoja, Asiye na mshirika. Hivyo basi mtakasieni ibada na utiifu. Na Anaapa Mwenyezi Mungu kwa Anachotaka miongoni mwa viumbe Vyake. Ama kiumbe, hafai kuapa isipokuwa kwa Mwenyezi Mungu, kwani kuapa kwa asiyekuwa Mwenyezi Mungu ni ushirikina
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek