Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 5 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿رَّبُّ ٱلسَّمَٰوَٰتِ وَٱلۡأَرۡضِ وَمَا بَيۡنَهُمَا وَرَبُّ ٱلۡمَشَٰرِقِ ﴾
[الصَّافَات: 5]
﴿رب السموات والأرض وما بينهما ورب المشارق﴾ [الصَّافَات: 5]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Yeye Ndiye Muumba mbingu na ardhi na vilivyoko baina ya hivyo viwili, na Ndiye Mpelekeshaji jua katika sehemu zake za kuchomozea na zile za kuchwea |