Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 44 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿عَلَىٰ سُرُرٖ مُّتَقَٰبِلِينَ ﴾
[الصَّافَات: 44]
﴿على سرر متقابلين﴾ [الصَّافَات: 44]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na miongoni mwa takrima yao watakayoipata kwa Mola wao, na kukirimiana wao kwa wao, ni kuwa wao watakuwa kwenye vitanda wameelekeana |