Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 73 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿فَٱنظُرۡ كَيۡفَ كَانَ عَٰقِبَةُ ٱلۡمُنذَرِينَ ﴾
[الصَّافَات: 73]
﴿فانظر كيف كان عاقبة المنذرين﴾ [الصَّافَات: 73]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Basi fikiria: ulikuwa vipi mwisho wa ummah hao walioonywa na wakakanusha? Waliadhibiwa na wakawa ni mazingatio kwa watu |