Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 74 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿إِلَّا عِبَادَ ٱللَّهِ ٱلۡمُخۡلَصِينَ ﴾
[الصَّافَات: 74]
﴿إلا عباد الله المخلصين﴾ [الصَّافَات: 74]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Isipokuwa waja wa Mwenyezi Mungu Aliyowasafisha na Akawachagua kwa kuwapa rehema Yake kwa kule kumtakasa kwao Yeye |