Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 83 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿۞ وَإِنَّ مِن شِيعَتِهِۦ لَإِبۡرَٰهِيمَ ﴾
[الصَّافَات: 83]
﴿وإن من شيعته لإبراهيم﴾ [الصَّافَات: 83]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na miongoni mwa waliokuwa katika nyendo za Nūḥ, njia yake na mila yake ni Nabii wa Mwenyezi Mungu Ibrāhīm |