Quran with Swahili translation - Surah As-saffat ayat 82 - الصَّافَات - Page - Juz 23
﴿ثُمَّ أَغۡرَقۡنَا ٱلۡأٓخَرِينَ ﴾
[الصَّافَات: 82]
﴿ثم أغرقنا الآخرين﴾ [الصَّافَات: 82]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Kisha tukawazamisha wengine, wenye kukanusha kati ya watu wake, kwa mafuriko, kisisalie chochote, miongoni mwao, hata jicho lenye kupepesa |