Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 80 - صٓ - Page - Juz 23
﴿قَالَ فَإِنَّكَ مِنَ ٱلۡمُنظَرِينَ ﴾
[صٓ: 80]
﴿قال فإنك من المنظرين﴾ [صٓ: 80]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mwenyezi Mungu Akasema kumwambia, «Wewe ni miongoni mwa watakaocheleweshwa mpaka Siku ya kipindi maalumu |