Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 79 - صٓ - Page - Juz 23
﴿قَالَ رَبِّ فَأَنظِرۡنِيٓ إِلَىٰ يَوۡمِ يُبۡعَثُونَ ﴾
[صٓ: 79]
﴿قال رب فأنظرني إلى يوم يبعثون﴾ [صٓ: 79]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Iblisi akasema, «Mola wangu! ucheleweshe ukomo wa maisha yangu wala usiniangamize mpaka wakati ambapo viumbe watafufuliwa kutoka makaburini mwao» |