Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 87 - صٓ - Page - Juz 23
﴿إِنۡ هُوَ إِلَّا ذِكۡرٞ لِّلۡعَٰلَمِينَ ﴾
[صٓ: 87]
﴿إن هو إلا ذكر للعالمين﴾ [صٓ: 87]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Haikuwa hii Qur’ani isipokuwa ni ukumbusho kwa viumbe vyote: majini na binadamu, wapate kujikumbusha kwayo mambo yanayowanufaisha wao ya maslahi ya Dini yao na dunia yao |