Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 88 - صٓ - Page - Juz 23
﴿وَلَتَعۡلَمُنَّ نَبَأَهُۥ بَعۡدَ حِينِۭ ﴾
[صٓ: 88]
﴿ولتعلمن نبأه بعد حين﴾ [صٓ: 88]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na mtajua, tena mtajua, enyi washirikina, habari ya hii Qur’ani na ukweli wake, pindi utakaposhinda Uislamu na watu kuingia kwenye dini ya Mwenyezi Mungu mapote kwa mapote, na pia pindi mtakaposhukiwa na adhabu na kamba zote kuwakatikia |