Quran with Swahili translation - Surah sad ayat 86 - صٓ - Page - Juz 23
﴿قُلۡ مَآ أَسۡـَٔلُكُمۡ عَلَيۡهِ مِنۡ أَجۡرٖ وَمَآ أَنَا۠ مِنَ ٱلۡمُتَكَلِّفِينَ ﴾
[صٓ: 86]
﴿قل ما أسألكم عليه من أجر وما أنا من المتكلفين﴾ [صٓ: 86]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Sema, ewe Mtume, uwaambie hawa washirikina miongoni mwa watu wako. «Sitaki kwenu ujira au malipo kwa kuwalingania nyinyi na kuwaongoza, na sidai jambo ambalo si langu, bali mimi nafuata yale ninayoletewa kwa njia ya wahyi, wala sijikalifishi kuleta mambo ya dhana na uzushi.» |