Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 14 - الزُّخرُف - Page - Juz 25
﴿وَإِنَّآ إِلَىٰ رَبِّنَا لَمُنقَلِبُونَ ﴾
[الزُّخرُف: 14]
﴿وإنا إلى ربنا لمنقلبون﴾ [الزُّخرُف: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na ili mseme pia, «Na sisi baada ya kufa kwetu ni wenye kuelekea Kwake na kurejea. Hapa pana dalili ya kuwa Mwenyezi Mungu Ndiye Mwenye kuwaneemesha waja Wake kwa neema mbalimbali, Ndiye Mwenye kustahiki kuabudiwa kwa kila hali |