×

Na wanamfanyia katika waja wake fungu. Kwa hakika mwanaadamu ni mtovu wa 43:15 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Az-Zukhruf ⮕ (43:15) ayat 15 in Swahili

43:15 Surah Az-Zukhruf ayat 15 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Az-Zukhruf ayat 15 - الزُّخرُف - Page - Juz 25

﴿وَجَعَلُواْ لَهُۥ مِنۡ عِبَادِهِۦ جُزۡءًاۚ إِنَّ ٱلۡإِنسَٰنَ لَكَفُورٞ مُّبِينٌ ﴾
[الزُّخرُف: 15]

Na wanamfanyia katika waja wake fungu. Kwa hakika mwanaadamu ni mtovu wa fadhila aliye dhaahiri

❮ Previous Next ❯

ترجمة: وجعلوا له من عباده جزءا إن الإنسان لكفور مبين, باللغة السواحيلية

﴿وجعلوا له من عباده جزءا إن الإنسان لكفور مبين﴾ [الزُّخرُف: 15]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Na hawa washirikina wamemfanya Mwenyezi Mungu kuwa na fungu miongoni mwa waja Wake. Nako ni kule kusema kwao kuhusu Malaika kuwa ni watoto wa kike wa mwenyezi Mungu. Kwa hakika, binadamu ni mwingi wa kukanusha neema za Mola Wake Alizowaneemesha kwazo, ni mwenye kudhihirisha kukataa kwake na kukanusha kwake, anahesabu misiba na anasahau neema
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek