Quran with Swahili translation - Surah Qaf ayat 1 - قٓ - Page - Juz 26
﴿قٓۚ وَٱلۡقُرۡءَانِ ٱلۡمَجِيدِ ﴾
[قٓ: 1]
﴿ق والقرآن المجيد﴾ [قٓ: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Qāf» Yametangulia maelezo kuhusu herufi zilizokatwa na kutengwa mwanzoni mwa sura ya Al-Baqarah. Anaapa Mwenyezi Mungu kwa Qur’ani tukufu, yenye ubora na heshima |