Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 14 - النَّجم - Page - Juz 27
﴿عِندَ سِدۡرَةِ ٱلۡمُنتَهَىٰ ﴾
[النَّجم: 14]
﴿عند سدرة المنتهى﴾ [النَّجم: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr mara nyingine hapo penye Sidrah al-Muntahā- mti wa mkunazi ulio kwenye uwingu wa saba ambapo hapo kinakomea kinachopanda juu kutoka ardhini na kinakomea kinachoshuka chini kutoka juu yake |