Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 44 - النَّجم - Page - Juz 27
﴿وَأَنَّهُۥ هُوَ أَمَاتَ وَأَحۡيَا ﴾
[النَّجم: 44]
﴿وأنه هو أمات وأحيا﴾ [النَّجم: 44]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwamba Yeye Ndiye Anayemfisha Anayetaka afe miongoni mwa vuimbe Vyake na Ndiye Anayemuhuisha Anayetaka ahuike miongoni mwao. Basi Yeye Ndiye Aliyepwekeka, kutakasika ni Kwake, kwa kuhuisha na kufisha |