Quran with Swahili translation - Surah An-Najm ayat 43 - النَّجم - Page - Juz 27
﴿وَأَنَّهُۥ هُوَ أَضۡحَكَ وَأَبۡكَىٰ ﴾
[النَّجم: 43]
﴿وأنه هو أضحك وأبكى﴾ [النَّجم: 43]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na kwamba Yeye, Aliyetukuka na kutakasika, Ndiye Anayemfanya Anayemtaka acheke duniani kwa kumfurahisha, na ndiye Anayemfanya Anayemtaka alie kwa kumpa makero |