Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 30 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿فَكَيۡفَ كَانَ عَذَابِي وَنُذُرِ ﴾
[القَمَر: 30]
﴿فكيف كان عذابي ونذر﴾ [القَمَر: 30]
Abdullah Muhammad Abu Bakr basi ilikuwa vipi nilivyowaadhibu kwa ukafiri wao na nilivyowaonya waliowaasi Mitume wangu? Hakika hiyo ilikuwa adhabu kubwa yenye uchungu |