×

Hakika Sisi tuliwapelekea ukelele mmoja tu, wakawa kama mabuwa ya kujengea uwa 54:31 Swahili translation

Quran infoSwahiliSurah Al-Qamar ⮕ (54:31) ayat 31 in Swahili

54:31 Surah Al-Qamar ayat 31 in Swahili (السواحيلية)

Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 31 - القَمَر - Page - Juz 27

﴿إِنَّآ أَرۡسَلۡنَا عَلَيۡهِمۡ صَيۡحَةٗ وَٰحِدَةٗ فَكَانُواْ كَهَشِيمِ ٱلۡمُحۡتَظِرِ ﴾
[القَمَر: 31]

Hakika Sisi tuliwapelekea ukelele mmoja tu, wakawa kama mabuwa ya kujengea uwa

❮ Previous Next ❯

ترجمة: إنا أرسلنا عليهم صيحة واحدة فكانوا كهشيم المحتظر, باللغة السواحيلية

﴿إنا أرسلنا عليهم صيحة واحدة فكانوا كهشيم المحتظر﴾ [القَمَر: 31]

Abdullah Muhammad Abu Bakr
Sisi tuliwateremshia Jibrili, akawapigia ukulele mmoja, wakatoeka hadi wa mwisho wao, wakawa ni kama nyasi zilizokauka zilizo nyepesi kuvunjika, zinazofanyiwa boma la ngamia na mifugo
❮ Previous Next ❯

Verse in more languages

Transliteration Bangla Bosnian German English Persian French Hindi Indonesian Kazakh Dutch Russian Spanish Turkish Urdu Uzbek