Quran with Swahili translation - Surah Al-Qamar ayat 29 - القَمَر - Page - Juz 27
﴿فَنَادَوۡاْ صَاحِبَهُمۡ فَتَعَاطَىٰ فَعَقَرَ ﴾
[القَمَر: 29]
﴿فنادوا صاحبهم فتعاطى فعقر﴾ [القَمَر: 29]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Wakamuita mwenzao wakimshawishi amchinje, basi akamshika yule ngamia kwa mkono wake na akamchinja, na mimi nikawatesa |