Quran with Swahili translation - Surah Ar-Rahman ayat 2 - الرَّحمٰن - Page - Juz 27
﴿عَلَّمَ ٱلۡقُرۡءَانَ ﴾ 
[الرَّحمٰن: 2]
﴿علم القرآن﴾ [الرَّحمٰن: 2]
| Abdullah Muhammad Abu Bakr Amemfundisha binadamu Qur’ani kwa kurahisisha kuisoma, kuihifadhi na kuelewa maana yake  |