Quran with Swahili translation - Surah Al-A‘raf ayat 1 - الأعرَاف - Page - Juz 8
﴿الٓمٓصٓ ﴾
[الأعرَاف: 1]
﴿المص﴾ [الأعرَاف: 1]
Abdullah Muhammad Abu Bakr «Alif, Lām, Mīm, Ṣād.» Yametangulia maneno kuhusu herufi zilizokatwa na kutengwa mwanzo wa sura ya Al-Baqarah |