Quran with Swahili translation - Surah Al-Muddaththir ayat 32 - المُدثر - Page - Juz 29
﴿كـَلَّا وَٱلۡقَمَرِ ﴾
[المُدثر: 32]
﴿كلا والقمر﴾ [المُدثر: 32]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Mambo sivyo kama walivyotaja ya ukanushaji Mtume katika yale aliyokuja nayo! Anaapa Mwenyezi Mungu, Aliyetakasika na kila sifa ya upungufu, kwa mwezi |