Quran with Swahili translation - Surah Al-Mursalat ayat 14 - المُرسَلات - Page - Juz 29
﴿وَمَآ أَدۡرَىٰكَ مَا يَوۡمُ ٱلۡفَصۡلِ ﴾
[المُرسَلات: 14]
﴿وما أدراك ما يوم الفصل﴾ [المُرسَلات: 14]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na nilipi lililokujulisha wewe, ewe binadamu, ni siku gani hiyo ya kutolewa uamuzi na ni zipi shida zake na vituko vyake |