Quran with Swahili translation - Surah An-Naba’ ayat 10 - النَّبَإ - Page - Juz 30
﴿وَجَعَلۡنَا ٱلَّيۡلَ لِبَاسٗا ﴾
[النَّبَإ: 10]
﴿وجعلنا الليل لباسا﴾ [النَّبَإ: 10]
Abdullah Muhammad Abu Bakr Na Tukaufanya usiku kuwa ni vazi, unawavisha giza lake na kuwafinika, kama nguo inavyomsitiri mwenye kuivaa |